Kwa kutengeza dawa hiyo wanasayansi hao walitumia harufu ya maua na mimea mingine inayotoa nekta . Baadaye walitumia gesi ya chromatography-electroantennographic (GC-EAD) kutenga na kubaini vitu ...