Ukweli ni kwamba Mansa Musa alirithi ufalme ulioachwa nyuma na nduguye. Chini ya uongozi wake ufalme wa Mali uliimarika kwa kiwango kikubwa. Aliunganisha miji 24 ikiwemo Timbuktu. Ufalme wake ...
Mansa Musa aliiweka Mali na yeye mwenyewe katika ramani kisawasawa ... wa Afrika unaonekana umekalia ufamle wa dhahabu juu ya Timbuktu, akiwa ameshikilia kipande cha dhahabu mkononi.