Rasilimali za Ziwa Tanganyika zinatumiwa kwa kiwango ambacho si endelevu na kulifanya ziwa hilo ambalo ni la pili kwa ukubwa miongoni mwa maziwa yasiyo na maji yenye chumvi kuwa hatarini.
Maelezo ya sauti, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika 26 Aprili 2022 Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.