KITENDO cha mabosi wa Pamba Jiji kutaka kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa timu hiyo, Eric Okutu, kambi ya mchezaji huyo Mghana ...
KOCHA wa Mikel Arteta amesema penati ya kusawazisha ya Brighton iliyopigwa na Joao Pedro ni uamuzi wa ajabu kuwahi ...
NYOTA wa Barcelona Dani Olmo na Pau Victor wanaripotiwa kuwa na hasira na rais wa timu hiyo Joan Laporta baada ya Barca ...
WAPINZANI wa Yanga Princess katika Ligi ya Wanawake, Mashujaa Queens yenye maskani yake jijini Dar es Salaam imesajili ...
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu kwa sasa ni kuhakikisha inasalia Ligi Kuu ili msimu ujao ...
Ramovic pia alisema juzi, Yanga ilistahili kushinda kwa idadi kubwa ya mabao zaidi, kwani ilitengeneza nafasi nyingi hasa ...
SIMBA jana usiku ilifanya makubwa huko Tunisia ikiipasua CS Sfaxien kwa bao 1-0 la kiungo Jean Charles Ahoua, huku kocha mkuu ...
LIVERPOOL, ENGLAND BAADA ya Liverpool kuripotiwa kumpa ofa ya mkataba wa miaka mitano utakaomwezesha kukunja Pauni 78 milioni ...
Simba ilipata ushindi huo kwenye Uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi, jijini Tunis na kuifanya ifikishe pointi tisa kutokana ...
LICHA ya kushinda mechi mbili mfululizo, kocha wa wa Manchester City Pep Guardiola amesema bado timu yake inacheza chini ya ...
BEKI wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania, Gadiel Michael ameachana na Chippa United ya Afrika Kusini huku sababu za kuondoka ...
BAADA ya pambano la kwanza la Mei mwaka jana kati ya Alexander Usky na Tyson Fury, wawili hawa walirudiana Desemba mwaka huo ...