Kauli hiyo pia imeungwa mkono na mabosi wa Kilimanjaro Wonders ambayo itacheza Jumapili itawakabili Simba katika mashindano hayo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, viongozi wa timu hizo ...
Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Wawili hao ...
Katika mechi sita alizocheza, Camara ameokoa hatari 13 zilizoelekezwa sawa na wastani wa kuokoa mashambulizi 2.2 kwa mechi. Hii inamaanisha kuwa iwapo Camara angeshindwa kuokoa nusu tu ya hatari ...