Katika mechi sita alizocheza, Camara ameokoa hatari 13 zilizoelekezwa sawa na wastani wa kuokoa mashambulizi 2.2 kwa mechi. Hii inamaanisha kuwa iwapo Camara angeshindwa kuokoa nusu tu ya hatari ...