YAWEZEKANA ni jina geni kwa baadhi ya watu hasa wa kizazi kipya. Lakini, ukweli unabaki miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika kuwa ndiye aliyemkaribisha Baba wa Taifa, Julius Nyerere kulala ...
Dodoma. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewaagiza walimu kufundisha kwa kutumia ramani ya Tanzania inayoonyesha mpaka wa Ziwa Nyasa umepita katikati ya ziwa na siyo inayoonyesha kuwa ziwa lipo ...
Mbunge wa zamani wa Mpanda Mjini mkoani Katavi, Said Arfi amekosoa mwendelezo wa uamuzi wa Serikali kuahirisha maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, akisema akisema inawanyima wananchi ... vya siasa ...
UWEZO wa kupanga mikakati na kuitekeleza una faida nyingi ambazo zinasaidia katika kufikia malengo na kuhakikisha mafanikio lukuki. Kama vile kutoa maelekezo ya wazi kuhusu ni hatua gani zitachukuliwa ...
LEO ni Desemba 9. Hii ni siku muhimu kwa Watanzania hasa wa Tanzania Bara (zamani Tanganyika) ambao wanasherehekea Miaka 63 ya Uhuru tangu ilipojikomboa kutoa kwa Koloni la Kiingereza tarehe kama hiyo ...
UWANJA wa Uhuru uliopo Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam ni miongoni mwa viwanja vikongwe ambavyo vina historia ya kipekee katika sekta ya michezo, ukiondoa ukweli kwamba ndipo ambapo Tanganyika ...
Watu wapatao 10 wamefariki na wengine 87 wameokolewa katika ajali ya boti iliyotokea ziwa Tanganyika nchini Tanzania. Mamlaka imethibitisha tukio hilo kutokea baada ya boti kupinduka majira ya ...